The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Sunday 20 March 2016

VIDEO YA KUTENGEZWA KWA COVER YA #KWETU YAKE RAYMOND TIP TOP

Raymond tip top ni msanii mpya katika muziki wa Afrika Mashariki . Kimuziki,anatokea kwenye label ambayo kwa sasa inavuma kwa kusajili vipaji na wasanii wapya akiwemo Harmonize,star wa 'Aiyola'na 'bado' .Tetesi pia zinasema kuwa huenda Rich Mavoo akawa signed chini ya WCB.
WCB ni label inayotisha Zaidi kwa sasa chini ya uongozi wa Diamond platnumz.

Raymond tayari keshavuruga muziki katika eneo hili la Afrika Mashariki kwa kibao hiki chake kipya kinachotishia kupanda chati kwenye countdowns zinazofanywa East Africa. #Kwetu ni kibao kinachozungumzia mapenzi yake kwa mwanadada ,ila kinachoyakwaza mapenzi yenyewe ni hali halisi ya maisha yake ya umaskini unaomdhalilisha.hivi anafanya juhudi kumwambia mpenzi ukweli wa hali yake .

Katika jitihada za kuuboresha muziki wake, Raymond alifanya shoot moja wazimu ,ili aweze kupata picha itakayofaa Zaidi kama cover ya audio hii yake mpya.itazame 
Hapa.


Share:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels