Featured post
USALAMA APP REVIEW
Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies, crimes etc. .All these happen to us unex...
Sunday, 19 June 2016
KENYAN ARTISTES RECOGNISED IN NIGERIAN AWARDS.
Friday, 27 May 2016
SAUTISOL WALIVYOKICHANA NCHINI SOUTH AFRICA
Sauti Sol mastaa wa Africa kutoka nchini Kenya, Jana Mei 27, walitua nchini Afrika Kusini.
South Africa ni kati ya sehemu walizotembelea katika ziara yako maarufu ya "LIVE AND DIE IN AFRICA" ili kuipa msukumo album yao kwa jina hilo.
Tazama picha uone mambo yalivyokuwa Jana South Africa!
Tuesday, 12 April 2016
SAUTISOL HAS SOMETHING LAIKIPIA UNIVERSITY STUDENTS !!!
Wana muziki wa kutajika Sautisol waamua kuwaburudisha wanafunzi wa chuo kikuu cha Laikipia kilichopo mjini Nakuru.Hii ni kwenye album tour yao ya #LiveAndDieInAfrica.
Wananuia kuzuru sehemu hii jumamosi ya tarehe 16 mwezi April I,2016.
Katika post yao ya insta:
sautisol Watu wetu wa Laikipia Uni, tuonane Sato pale Nakuru Athletics Club.
Mastude wana lipa soo tatu pekee. Lakini lazma ukam na ID ya system kwa gate.
Check the ticket info below
Student tickets go for : KES. 300 (Must carry your school ID)
Advance general: KES. 400 and at the gate: KES. 500
VIP: KES. 2,000
Lipa na M-pesa (Buy goods and services) Till Number: 576376. See y'all next week at the Nakuru Athletics Club. Gates open at 7PM. 18 + Years #LiveandDieinAfrikaTour
Sunday, 10 April 2016
WILLY PAUL awapa shavu Sauti Sol kwenye kibao chake kipya
Tulimjua kwa "sitolia" "lala salama" "You never know" "Tam tam remix ft size 8"
Na vibao vikubwa ambavyo vimempandisha chati huku nchini.Willy Paul sio jina geni kwa wakenya ha hata East Africa Kwa ujumla"
Hivi sasa msanii huyu mwenye style ya "Bongo gospel" ameachia kibao na Sauti Sol ,hit makers wa "sura yako " "Nerea" "unconditionally bae ft Ali Kiba" na vingine vingi.
Wasanii hawa wameungana katika jitihada za kuburudisha wakenya kwa Mara nyingine , na huenda kwa wakati juu wakaleta kadha mpya kwenye scene ya burudani.
Cha kufanya? Tusubiri!!!
GET NOTICED










