The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Tuesday 12 April 2016

SAUTISOL HAS SOMETHING LAIKIPIA UNIVERSITY STUDENTS !!!


Wana muziki wa kutajika Sautisol waamua kuwaburudisha wanafunzi wa chuo kikuu cha Laikipia kilichopo mjini Nakuru.Hii ni kwenye album tour yao ya #LiveAndDieInAfrica.
Wananuia kuzuru sehemu hii jumamosi ya tarehe 16 mwezi April I,2016.

Katika post yao ya insta:

sautisol Watu wetu wa Laikipia Uni, tuonane Sato pale Nakuru Athletics Club.
Mastude wana lipa soo tatu pekee. Lakini lazma ukam na ID ya system kwa gate.
Check the ticket info below

Student tickets go for : KES. 300 (Must carry your school ID)
Advance general: KES. 400 and at the gate: KES. 500

VIP: KES. 2,000
Lipa na M-pesa (Buy goods and services) Till Number: 576376. See y'all next week at the Nakuru Athletics Club. Gates open at 7PM. 18 + Years #LiveandDieinAfrikaTour

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels