The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Saturday 16 April 2016

Raymond Tip Top #KWETU VIDEO IMETOKA

Video iliyongojewa kwa sana kutoka kwa msanii Raymond Tip Top kutoka WCB  imetoka,

Video ya kwetu inasimulia kijana anayempenda binti ,ambaye kwao ni matajiri,lakini kijana mwenyewe ametoka katika familia hohe hahe.kijana huyu anamsimulia hali halisi ya kwao, bila kuhofia kutengwa kwa kukosa pesa.

Video hii ambayo imetengezwa na Godfather productions imetia fora zaidi, na tayari ina iews zaidi ya lakini moja unusu

Itazame

Hapa

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels