Mwanamziki wa Kenya Willy Paul amezungumzia wimbo wake TAKE IT SLOW ambao amewashirikisha Sautisol.
Leo hii katika post yake ya insta, ameeleza madhumuni ya wimbo huo, kuwaelimisha vijana nchini,dhidi ya kuishi maisha ya kiholela na kujihusisha na mambo yasiyo faa kama dawa za kulevya na mapenzi ya kabla ya ndoa.
Anaeleza zaidi katika post yake hapa chini.
willypaulmsafi:Morning my fellow Kenyans, I just want you to know that the far I've come is because of my heavenly Father. He brought me from nothing to something, and I will forever be under His leadership.
The song TAKE IT SLOW FT SAUTI SOL is an educative song... It talks about our day to day life struggles
We are young and most of us struggle with FORNICATION, DRUGS among others.. Most of us are afraid of being told the truth, I took the risk because I love my country, brothers and my sisters.. We make such mistakes and regret later because no one ever addresses the issues to us.. It's true, the youth are engaging in premarital sex.
JUST TAKE IT SLOW. When the right time comes, everything will flow.. With God by your side, you'll never go wrong. If God is with us, who can be against us?? NO ONE!!!
0 comments:
Post a Comment