The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Tuesday 12 April 2016

CHUO KIKUU CHA LAIKIPIA CHAFUNGWA GHAFLA KUFUATIA VURUGU SHULENI HUMO

chuo kikuu cha Laikipia kimefungwa leo hii,na kuikatiza mitihani iliyokuwa ikiendelea.Hii ni baada ya vurugu kuzuka chuoni humo, jambo lililotishia hali ya usalama ya wanafunzi.

Vurugu hizi zinaaminiwa kusababishwa na wanafunzi baada yao kugundua ya kwamba masomo yao ya chuo,hayakuwa yameandikishwa ,jambo linalowazuia kufanya mtihani.


Mwanafunzi mmoja ameeleza kuwa

"Biomedical  and bio chemistry students  wamestrike coz units zao si registered"

hivyo basi  wakuu wa shule wameamua kukifunga chuo ghafla kufuatia vurugu hizi wakihofia usalama wa chuo ,wa wanafunzi.

Vurugu nyingine zilitokea katika chuo kikuu cha Nairobi zilizopelekea kufungwa kwa chuo hicho baada ya uchaguzi wa kuwania uongozi wa chuo hicho, tarehe moja ,Aprili,mwaka huu.

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels