The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Showing posts with label wcb. Show all posts
Showing posts with label wcb. Show all posts

Friday, 27 May 2016

DIAMOND PLATNUMZ TAKES BLINGS TO THE GRAM

Diamond platnumz ,hit maker mkubwa wa East Africa ,ambaye juzi tu amekua nominated kwenye BET AWARDS 2016,Katika kundi la best international act Africa,

Leo hii , amepeleka mashauzi moja kwa moja na kuonyesha kati ya  "blings" anazovaa za dhahabu na Almasi kwenye official yake ya insta @diamondplatnumz

Huenda ndiye the next king of bling in East Africa?

zitazame hapa


Au itazame video hapa 

 https://www.instagram.com/p/BF72et2mwJ-/

Share:

Wednesday, 25 May 2016

AUDIO ALERT! RAYMOND TIP TOP NATAFUTA KIKI

Baada ya hit single ya Raymond Tip Top,kwa jina #kwetu , Leo hii star huyu wa bongo fleva ameachia kibao kipya kwa jina #NATAFUTAKIKI

Unaeza kuiskiza na kudownload hapa

Share:

Tuesday, 17 May 2016

HARMONIZE NA WOLPER KWENYE MAPENZI!!!

Harmonize msanii mpya aliyesajiliwa kwenye label ya WCB na Diamond Platnumz huenda baada ya ustar akajiri pia na mapenzi ya mjini!

Star huyu wa singles mbili "Aiyola" na kibao "Bado" alichomshirikisha Diamond platnumz huenda akawa na uhusiano na star muigizaji wa Tanzania Jacky wolper.

Harmonize AKA mapenzi, ameyamwaga mapenzi kwa wolper kwenye insta page yake .

Hii ni licha ya wolper kuwa mapenzi wa kitambo wa Diamond Platnumz. ila mapenzi hayachagui!!!

Tazama picha

Share:

Sunday, 20 March 2016

VIDEO YA KUTENGEZWA KWA COVER YA #KWETU YAKE RAYMOND TIP TOP

Raymond tip top ni msanii mpya katika muziki wa Afrika Mashariki . Kimuziki,anatokea kwenye label ambayo kwa sasa inavuma kwa kusajili vipaji na wasanii wapya akiwemo Harmonize,star wa 'Aiyola'na 'bado' .Tetesi pia zinasema kuwa huenda Rich Mavoo akawa signed chini ya WCB.
WCB ni label inayotisha Zaidi kwa sasa chini ya uongozi wa Diamond platnumz.

Raymond tayari keshavuruga muziki katika eneo hili la Afrika Mashariki kwa kibao hiki chake kipya kinachotishia kupanda chati kwenye countdowns zinazofanywa East Africa. #Kwetu ni kibao kinachozungumzia mapenzi yake kwa mwanadada ,ila kinachoyakwaza mapenzi yenyewe ni hali halisi ya maisha yake ya umaskini unaomdhalilisha.hivi anafanya juhudi kumwambia mpenzi ukweli wa hali yake .

Katika jitihada za kuuboresha muziki wake, Raymond alifanya shoot moja wazimu ,ili aweze kupata picha itakayofaa Zaidi kama cover ya audio hii yake mpya.itazame 
Hapa.


Share:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels