Baada ya hit single ya Raymond Tip Top,kwa jina #kwetu , Leo hii star huyu wa bongo fleva ameachia kibao kipya kwa jina #NATAFUTAKIKI
Unaeza kuiskiza na kudownload hapa
The Tech Planner
And I love TECH
AND NEW INVENTIONS
I WILL REVIEW THEM FOR YOU.
TO COMMENT AND SUBSCRIBE.
Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies, crimes etc. .All these happen to us unex...
Baada ya hit single ya Raymond Tip Top,kwa jina #kwetu , Leo hii star huyu wa bongo fleva ameachia kibao kipya kwa jina #NATAFUTAKIKI
Unaeza kuiskiza na kudownload hapa
Raymond tip top ni msanii mpya katika muziki wa Afrika Mashariki . Kimuziki,anatokea kwenye label ambayo kwa sasa inavuma kwa kusajili vipaji na wasanii wapya akiwemo Harmonize,star wa 'Aiyola'na 'bado' .Tetesi pia zinasema kuwa huenda Rich Mavoo akawa signed chini ya WCB.
WCB ni label inayotisha Zaidi kwa sasa chini ya uongozi wa Diamond platnumz.
Raymond tayari keshavuruga muziki katika eneo hili la Afrika Mashariki kwa kibao hiki chake kipya kinachotishia kupanda chati kwenye countdowns zinazofanywa East Africa. #Kwetu ni kibao kinachozungumzia mapenzi yake kwa mwanadada ,ila kinachoyakwaza mapenzi yenyewe ni hali halisi ya maisha yake ya umaskini unaomdhalilisha.hivi anafanya juhudi kumwambia mpenzi ukweli wa hali yake .
Katika jitihada za kuuboresha muziki wake, Raymond alifanya shoot moja wazimu ,ili aweze kupata picha itakayofaa Zaidi kama cover ya audio hii yake mpya.itazame
Hapa.