The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Showing posts with label MAFIKIZOLO. Show all posts
Showing posts with label MAFIKIZOLO. Show all posts

Sunday, 15 May 2016

SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ ILIVYOTISHA HUKO UDOM

Mnamo tarehe 12 mwezi mei, Diamond Platnumz AKA Chibu Dangote pamoja na mastaa wa Africa Mafikizolo walifika Dodoma kwa nia ya kuwafurahisha na kuburudisha  wanafunzi mjini.

Diamond Platnumz alitisha zaidi kwa mihemko kwa mashabiki zake .

Show hii iliandaliwa na Vodacom ya nchini Tanzania.
Diamond ndiye brand ambassador wa Vodacom nchini humo.

Tazama video ya diamond alivyowapagawisha wanafunzi kwenye stage
Hapa

Share:

Saturday, 23 April 2016

VIDEO YA MAFIKIZOLO WAKIMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ IMETOKA!!


Baada ya kusubiriwa kwa Muda mrefu, video ya mafikizolo wakimshirikisha Diamond Platnumz ipo tayari.

Video hii inazungumzia uzuri wa Afrika na muziki wake.
Kwa jina 'COLORS OF AFRICA'  wimbo huu ni wenye kuvutia, kwa sauti za mastaa hawa wakuu wa bara Afrika, na rangi za kiafrika zilizotumika humo.

Itazame video

Hapa

Share:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels