The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Sunday 15 May 2016

SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ ILIVYOTISHA HUKO UDOM

Mnamo tarehe 12 mwezi mei, Diamond Platnumz AKA Chibu Dangote pamoja na mastaa wa Africa Mafikizolo walifika Dodoma kwa nia ya kuwafurahisha na kuburudisha  wanafunzi mjini.

Diamond Platnumz alitisha zaidi kwa mihemko kwa mashabiki zake .

Show hii iliandaliwa na Vodacom ya nchini Tanzania.
Diamond ndiye brand ambassador wa Vodacom nchini humo.

Tazama video ya diamond alivyowapagawisha wanafunzi kwenye stage
Hapa

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels