The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Tuesday 3 May 2016

SHETTA KUACHIA WIMBO MPYA WIKI HII

Baada ya kimya kingi, msanii wa kutajika kutoka bongo,shetta aamua kuwachangamsha mashabiki wake kwa kibao kipya.

Star huyu wa nyimbo kama vile , nidanganye  na kerewa ft diamond platnumz, sina imani ft Rich Mavoko na nyingine nyingi amepanga kuachia kibao kwa jina NAMJUA katika Siku ya ijumaa wiki hii.

Kwa mashabiki wake wote, wakati ndo huu wa kumkumbuka!!!!

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels