The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Thursday 5 May 2016

AUDIO YA P UNIT "HOLD TIGHT" IMETOKA!!

Imekuwa ni muda sasa  hatujaskia wimbo kutoka kwa wasanii wa P UNIT -Frasha,buganya na bon-eye .
Miezi kadhaa iliyopita, fununu zilitamba kwenye mitandao kuwa kikundi hiki kilitengana na kila msanii kwenda kivyake na kuanza safari mpya za kusaka hela kwa muziki wa genge.

Ila kwa sasa,
Kikundi hiki cha P UNIT, kimeachia kibao kipya kwa jina "HOLD TIGHT"

Kibao hiki kimeshughulikiwa na producer wao wa tangu jadi, Decimal kwa jina maarufu Musyoka.

Je huenda kibao kibao hiki kikaashiria kuwa watatu hawa hawakuwa wametengena?
Au labda ,watatu hawa wamerudiana na kuendelea na ndoa yao ya kimuziki?

cha muhimu ni kuistawisha na kuiunga mkono kazi wanayoifanya ya kuwaburudisha mafans wao!

Itazame audio  Hapa .

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels