The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Friday 27 May 2016

AUDIO ALERT! HARMONIZE FT KOREDEBELLO



inaonekana kuwa msanii Harmonize star wa bongo fleva ameachia kibao kipya huku akimshirikisha msanii mkubwa kutoka Nigeria Koredebello.Harmonize amejulikana kwa hits kama vile Aiyola na bado,kibao alichomshirikisha Diamond Platnumz.


katika post yake ya insta, Diamond platnumz ambaye ndiye mkubwa wa label ya WCB ameandika

Natamani Mngepata walau sekunde 3 tu kuskiliza Ngoma Mpya ya @Harmonize_tz alomshirikisha Mr Romantic, wenyewe wanamwita GODWIN @koredebello tokea the Marvins Nigeria.... Moja ya ngoma zinazotawala kwenye Repeat ya playlist yangu kwa sasa.... #BongoflavourTotheWorld

 

 

 

kaa kwenye blogspot ya Presenter Ali upate kujua punde audio ikitoka !!

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels