The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Friday 6 May 2016

" NAMJUA " VIDEO YA SHETTA IMETOKA

Siku mbili tu baada ya audio iliyotisha bongo, Mamba katika uwanja wa utunzi ,Shetta ameachia video ya hit single yake mpya kwa jina NAMJUA.

Muda mfupi tu baada ya kuachia video hii, baba Qayla amemiminiwa sifa na mashabiki wake wa insta pamoja na subscribers wa YouTube kwa ukali wa video na utunzi wake wa kutajika katika wimbo wake.



Itazame video hapa uburudike pia, kwa wimbo wa shetta wa kwanza kuufanya mwenyewe katika historia!

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels