The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Friday 20 May 2016

DIAMOND PLATNUMZ ACHAGULIWA KUSHIRIKI KWENYE BET AWARDS 2016

Tanzania imeamkia  habari zinazosisimua baada ya  Diamond Platnumz kuchaguliwa tena kushiriki kwenye tuzo za kituo maarufu cha TV Marekani kiitwacho BET.hii ni awamu nyingine  ambapo Platnumz  amekuwa nominated kwenye tuzo hizi na sasa hivi ni kwenye tuzo za BET Awards 2016.

Diamond  Platnumz ameshukuru kwa kuchaguliwa kuwania tuzo hizi chini ya kipengele cha Best international Act Africa .

Kwenye post yake ya insta, ‘Ningependa niwashukuru kwa Sapoti kubwa Manayozidi kunipa na niwajuze kuwa kijana wenu nimechaguli kuwania tunzo ya Msanii Bora wa Kimataifa toka Africa kwenye tunzo za BET #BETAwards America’ aliandika punde tu baada ya kufikiwa na habari hizo njema.

Orodha ya waliochaguliwa kuwania huko marekani imesisimua huku   Beyonce, Rihanna na Drake wakitangazwa kuongoza kwa kuwania tuzo zaidi ya moja.

Miongoni mwa wasanii wa Afrika waliochaguliwa kushiriki ambao ni wapinzani wa Diamond ni AKA,yemi alade,wizkid black coffee,mzvee na wasanii wengine.

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels