baada ya kufanya kazi na Vazzi clothing collection.' Huddah Monroe sasa amepata deal nyingine na hivi sasa ndiye brand ambassador wa BrightenMi Cosmetics katika sehemu hii ya Afrika mashariki.
”Meet our new #BrightenMi Ambassador for the East African region.#HONEY
body and face cream are what she uses to eliminate blemishes and restore
evenness,”waliandika kwenye post ya ya insta
hii ni mara ya pili Huddah kuwa brand ambassador , baada ya kufanya kazi na ' Vazzi clothing collection.'
hongera Huddah!!
0 comments:
Post a Comment