The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Thursday 26 May 2016

AUDIO ALERT "DIVINE" BY PRIME

Kutana naye PRIME msanii kutoka nchini Kenya!
Jina halisi:Ochieng Eugene Omondi
Alipozaliwa:23 May ,Nairobi Kenya
Style ya nyimbo:Newlife RnB Pop Reggae Afrodancehalll
Ochieng Eugene Omondi alizaliwa May 23).Hapo Awali alijulikana kama Decimal ila alibadili jina na kujiita  PRIME mwaka huu wa 2016.
PRIME alianza safari yake ya muziki akiwa na miaka kumi na sita,kwa kibao kilichofanya vizuri kwa jina
"happy time" wimbo aliorekodi na wenzake katika bendi .
Baadaye, alitoka kwenye bendi hiyo na kuwa msanii anayeimba kivyake,ambapo aliachia hit single " Fine girl(irie)" iliyopokelewa vizuri ndani na nje ya East Africa.
Punde aliachia kibao " Jamming"
Baada ya kurebrand, PRIME sasa ameachia kibao "Divine"
Katika post yake ya insta :DIVINE
"Divine is a sexy simple chune for all ladies around the world regardless of race.Prime makes a very hot flow about  a lady with his powerful lyrics.He uses his one of a kind lyrical power and creativity to communicate.ladies buckle up."

click http://www.mdundo.com/a/14897 kuskiza na kudownload  wimbo wake mpya

  
Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels