The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Wednesday 4 May 2016

ELANI X JOSE CHAMELEONE VIDEO ALERT

Baada ya kimya kwa muda, wanamuziki kutoka Kenya almaarufu Elani wameachia kibao kipya.

mastaa hawa wa nyumbani wameachia kibao kipya wakimshirikisha msanii Jose chameleone kutoka Uganda   kwa jina "My Darling"

My Darling ni wimbo wa kimapenzi unaoonyesha umuhimu wa kumwambia umpendaye mapenzi yako kwake.

Katika post yao kwenye YouTube,wameandika

"My Darling is a song we wrote to tell a beautiful story.we believe that love is an amazing and beautiful gift that we have to share with each other.As the most beautiful things cannot be seen or heard,or even touched. They must be felt with the heart.share this with your Darling, let them know how you feel."

Itazame video mpya

Hapa

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels