The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Thursday 19 May 2016

ALIKIBA KWENYE MKATABA NA SONY MUSIC

Alikiba  ni Mwimbaji staa wa bongofleva .kuanzia 19,mei 2016 atakua chini ya mwavuli wa Sony Music
.sony music ni kampuni kubwa ya muziki inayofanya kazi na mastaa wa dunia kama vile Beyonce, John Legend na Chris Brown.
Mkataba huo utahakikisha  kumtengeneza Alikiba kweye kiwango cha juu zaidi kimuziki na kibiashara huku ukigharamia video na anaporekodi audio zake.
Muziki wa Alikiba utasambazwa na Sony Music kwenye masoko makubwa ya muziki yakiwemo ya Marekani, Ulaya na hata  Africa.

Davido pia alitia sahihi mkataba huu na Sony music hapo awali.mkataba huu unamuwezesha msanii kukutanishwa na waandishi wakubwa wa nyimbo duniani,pamoja na kumrahisishia msanii kufanya collabo na wasanii maarufu duniani.

Subscribe kwenye YouTube channel ya Presenter Ali. Update story zaidi

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels