The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Thursday 19 May 2016

MSICHANA MWINGINE KATI YA WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAMA APATIKANA

miaka miwili tangu zaidi ya wasichana  276 wa shule watekwe nyara na kupatikana kwa mmoja mnamo May 18 2016 ,msichana mwingine Serah Luka  amepatikana kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno.

Mkuu wa jeshi la polisi Nigeria amethibitisha taarifa hizo . hii ni baada ya Amina Ali msichana wa kundi la Chibok girls kupatikana mnamo mei 18,2016

Rais wa Nigeria alimualika Amina Ali,pamoja na mamake mzazi,na mtoto wake aliyejifungua wakati akiwa mateka wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
Amina alisimulia kuwa  kati ya wanafunzi wenzake, sita walipoteza maisha walipokua mateka.

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels