The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Tuesday 19 April 2016

KUTANA NAYE LENMAX :THE TADAMUAKI STAR

Lenmax(maasai mjanjez) ni mwana muziki wa nyimbo aina ya  gospel- dancehall .Akitokea mjini Narok ,mwana muziki huyu mdogo  alianza kuandika nyimbo katika pilkapilka zake za kuchunga mifugo.

Utunzi wa msanii huyu chipukizi unapewa motisha kwa kiasi kikubwa na mila na tamaduni za kimaasai.Mdogo huyu, amebobea sana katika muziki huku akichanganya muziki wa kimaasai na mtindo wa kijamaica

"The fusion of maasai language and jamaican patwa is what brings out a unique and rare master piece of the dancehall music that  I do"
Alisimulia

Majina halisi?
lekishon mandela

Jina la kisanii? 
Lenmax

Lekishon Mandela alizaliwa katika mji wa Narok na kwenda katika shule ya msingi ya Ilmashariani.
Katika maisha yake ya ukubwani alipata fursa ya kujiunga na Lulung'a boys high school .

Hivi sasa ?

"I am Currently now persuing bachelors degree in arts at the mount kenya university main campus"
 

Wimbo yake mpya kwa jina TADAMUAKI umetia fora zaidi kwa kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya burudani, vikiwemo vya redio na televisheni za kutajika.

Itazame video yake mpya 

Hapa

Share:

0 comments:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels