The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Sunday 16 October 2016

LYRICS OF THE DAY #MWIMBIE by BEN C

After its release,the Mwimbie Video by Ben C has got massive airplay and thousands of comments from presenters, subscribers and fans.well to help you sing along, ​#MWIMBIE​ ,here are the songs lyrics

Mwimbie by Ben C Lyrics

Intro
Its official... Mmmmmhhh
(Ben C again... Bebebe Ben C Ben C Ben C again...)
Ooooh ooooh ooooh hey
(Bebebe Benali on this)

Verse 1
Nimetoka zangu church choir prako,
Nahisi nimejazwa upako...
Na kwenye baraste ni mwendo wa kinyonga feeling better than ever before...
Namwona kiwete hapo kandoo,
Anaomba nimwachie ya macho,
Narusha mkono kwnye mfuko napata sina hela za kubuy ata chipo...

Bridge...
(Nitampa nini mie...) Furaha ninayo lakini nitampa vipi..
(Pengine nimwadithie...) Ya kwamba mola ni mwaminifu yuaziona dhiki...
(Nitampa nini mie...)  Furaha ninayo lakini nitampa vipi...
(Pengine nimwadithie...) kipawa cha kumpa hadithi pia sinaaa...

Chorus
Itabidi mi nimwimbie... Mwimbie... Mi nataka nimwimbie...
Tugawane kidogo alicho nipa Bwana...
Nimwimbie... Mwimbie...
Mi nataka nimwimbie...
Hicho ndicho kidogo alichonipa Bwana.

Verse 2
Wamfahamu huyu maulana, mi namwitanga SIMBA WA YUDA...
Anaponya vipofu viziwi na viwete lakini ni kwa wake tu muda...
Ukimwita kwa imani atakujaa,
Maishani mwako atamanouver...
Akupe miguu, akutoe madhare, akupe nyumba Nyali ama Rhunda.

Bridge
Furaha ninayo mimi nitampa hivi..
(Pengine nimwadithie...) Ya kwamba mola ni mwaminifu yuaziona dhiki...
Furaha ninayo mimi nitampa hivi...
Ninakiri kwamba mie, pesa na mali sina ya kukupaa...

Chorus
Itabidi mi nikwimbie... Kwimbie... Mi nataka nikwimbie...
Tugawane kidogo alicho nipa Bwana
Nikwimbie... Kwimbie... Mi nataka nikwimbie...
Hicho ndicho kidogo alichonipa bwana.

Verse 3
Uhitaji kuwa na gari, mipesa mibunda ndio mwenzako kumpa...
Unahitaji tu moyo mkunjufu wa kumpa chochote mola alichokupa...
Iwe salamu, ama tabasamu pia... Hitokugharimu... Usijiulize

Bridge
(Nitampa nini mie...) Furaha ninayo lakini nitampa vipi..
(Pengine nimwadithie...) Ya kwamba mola ni mwaminifu yuaziona dhiki...
(Nitampa nini mie...)  Furaha ninayo lakini nitampa vipi...
(Pengine nimwadithie...) kipawa cha kumpa hadithi pia sinaaa...

Chorus
Itabidi mi nimwimbie... Mwimbie... Mi nataka nimwimbie...
Tugawane kidogo alicho nipa Bwana...
Nimwimbie... Mwimbie...
Mi nataka nimwimbie...
Hicho ndicho kidogo alichonipa Bwana.

Outro
Furaha ninayo lakii nitampa vipi..
Ya kwamba mola ni mwaminifu yuaziona dhiki...
Furaha ninayo lakini nitampa vipi...
pesa na mali sina ya kukupaa...

Watch the video HERE

Thanks for visiting my blog , see you again soon
I'm now on Instagram as @PresenterAli keep dreaming and be blessed

Share:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate

Labels