The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Saturday, 23 April 2016

VIDEO YA MAFIKIZOLO WAKIMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ IMETOKA!!

Baada ya kusubiriwa kwa Muda mrefu, video ya mafikizolo wakimshirikisha Diamond Platnumz ipo tayari. Video hii inazungumzia uzuri wa Afrika na muziki wake. Kwa jina 'COLORS OF AFRICA'  wimbo huu ni wenye kuvutia, kwa sauti za mastaa hawa wakuu wa bara Afrika, na rangi...
Share:

Tuesday, 19 April 2016

KUTANA NAYE LENMAX :THE TADAMUAKI STAR

Lenmax(maasai mjanjez) ni mwana muziki wa nyimbo aina ya  gospel- dancehall .Akitokea mjini Narok ,mwana muziki huyu mdogo  alianza kuandika nyimbo katika pilkapilka zake za kuchunga mifugo. Utunzi wa msanii huyu chipukizi unapewa motisha kwa kiasi kikubwa na...
Share:

WILLY PAUL MSAFI AZUNGUMZIA WIMBO WAKE MPYA NA SAUTISOL

Mwanamziki wa Kenya Willy Paul amezungumzia wimbo wake TAKE IT SLOW ambao amewashirikisha Sautisol. Leo hii katika post yake ya insta, ameeleza madhumuni ya wimbo huo, kuwaelimisha vijana nchini,dhidi ya kuishi maisha ya kiholela na kujihusisha na mambo yasiyo faa kama dawa...
Share:

Saturday, 16 April 2016

Raymond Tip Top #KWETU VIDEO IMETOKA

Video iliyongojewa kwa sana kutoka kwa msanii Raymond Tip Top kutoka WCB  imetoka, Video ya kwetu inasimulia kijana anayempenda binti ,ambaye kwao ni matajiri,lakini kijana mwenyewe ametoka katika familia hohe hahe.kijana huyu anamsimulia hali halisi ya kwao, bila kuhofia...
Share:

Thursday, 14 April 2016

LIST MPYA YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA NAIROBI WALIOHUSIKA KATIKA VURUGU ZA BAADA YA UCHAGUZI CHUONI HUMI

orodha mpya kutoka chuo kikuu cha Nairobi ya wanafunzi waliohusika katika vita vya baada ya uchaguzi chuoni humo imeandikwa katika mtandao wa chuo hicho www.uonbi.ac.ke Orodha hii inaonyesha wanafunzi wanaoshukiwa kuhusika katika vurugu hizi.wanafunzi walioshukiwa wanatakiwa kuizuru shule kila mmoja kwa wakati wake kuchukua barua zinazoonyesha kuachishwa...
Share:

Tuesday, 12 April 2016

DAVIDO APATA DEAL MPYA NA KAMPUNI YA PEPSI

Kwenye post zake mbili za insta: Davido ameonyesha furaha yake kwa kupata bonge LA deal na kampuni ya kutengeza vinywaji ya Pepsi. "MY NEW PEPSI DEAL SWEATER THAN!! 2 YEARS WITH THE BEST! THANK YOU LORD FOR YOUR CONTINUED BLESSINGS,THANKS @Pespsi_naija"Miongoni mwa wasanii wengine...
Share:

CHUO KIKUU CHA LAIKIPIA CHAFUNGWA GHAFLA KUFUATIA VURUGU SHULENI HUMO

chuo kikuu cha Laikipia kimefungwa leo hii,na kuikatiza mitihani iliyokuwa ikiendelea.Hii ni baada ya vurugu kuzuka chuoni humo, jambo lililotishia hali ya usalama ya wanafunzi. Vurugu hizi zinaaminiwa kusababishwa na wanafunzi baada yao kugundua ya kwamba masomo yao ya chuo,hayakuwa...
Share:

SAUTISOL HAS SOMETHING LAIKIPIA UNIVERSITY STUDENTS !!!

Wana muziki wa kutajika Sautisol waamua kuwaburudisha wanafunzi wa chuo kikuu cha Laikipia kilichopo mjini Nakuru.Hii ni kwenye album tour yao ya #LiveAndDieInAfrica. Wananuia kuzuru sehemu hii jumamosi ya tarehe 16 mwezi April I,2016. Katika post yao ya insta: sautisol Watu...
Share:

KING'S SPEECH by KING KAKA

Rabbit aka king kaka ampasha shabiki aliyejaribu kumpiganisha kikabila na waimbaji wenzake.shabiki huyu alidhihirisha ukabila huku akimwambia King kaka aache kuimba au kufanya collabo na wasanii wa kabila  Fulani, Itazame screen shot ya picha hiyo hapa chini. "When we...
Share:

Monday, 11 April 2016

NEW VIDEO ALERT BY KALIGRAPH JONES

   Baada ya vibao vingi venye kutisha ,na kukubalika humu nchini,Kaligraph jones adondosha Kibao kipya "mazishi"  Click Hapa kuitazama ngoma yake mpya ...
Share:

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOVURUGA SHULE BAADA YA UCHAGUZI WA CHUO KIKUU CHA NAIROBI

Chuo kikuu cha Nairobi cha walaumu wanafunzi 110 kwa kuanza nakuendeleza vurugu baada ya uchaguzi uliofanyika shuleni humo ,tarehe 1 ,APril,2016. Katika jitihada za kuwarekebisha na kuwapa nidhamu wanafunzi hawa,wakuu wa chuo hiki wamekatiza masomo yao kwa muda,na wanafunzi...
Share:

BARUA YA BAHATI KENYA KWA RAIS UHURU KENYATTA

Sio ya kwanza na huenda pia sio ya mwisho, Bahati Kenya aandika barua nyingine,na wakati huu, amuandikia Rais  Uhuru Kenyatta barua akimuomba kutia juhudi katika kutatua tatizo la ugonjwa wa saratani ambao umewaangamiza wakenya wengi. Isome hapa chini Bahati # DEAR_PRESIDENT_UHURU_KENYATTA My...
Share:

KUTANA NAYE MJUKUU WA MEYA :GWIJI KATIKA TAALUMA YA UTANGAZAJI WA REDIO

Utampata kuanzia Jumatatu hadi Alhamisi ,kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa nne. Kila siku akijaajaa kuijuza,kuelimisha na cha muhimu kabisa kuiburudisha hadhira yake. Alex Muembu ni Mtangazaji mpya kwenye uwanja wa utangazaji.akitangazia K.U Radio -Mtangazaji huyu amedhihirisha...
Share:

MICHEMKO KATI YA WAPENZI WEMA SEPETU NA IDRIS SULTAN

kumetokea mihemko na michemko kati ya mshindi wa Big Brother Africa 2015 Idris Sultan na mpenzi wake wa sasa,Wema  Sepetu ,ambaye ni mpenzi wa zamani wa Diamond Platnumz Hii ni baada ya Idris kukutana na video clip inayosambaa kwenye mitandao ikionyesha Wema Sepetu akimpa...
Share:

Sunday, 10 April 2016

NOTI FLOW AZUNGUMZA baada ya video yake kupigwa marufuku nchini Kenya

Noti flow ambaye ni msanii wa kike kutoka nchini Kenya alizungumza kwenye Exclusive Interview na presenter Ali. Katika interview hio iliyofanywa kwenye show ya (E-SHOW) Noti Flow alieleza hisia zake baada ya video yake ya "SAME LOVE -inayoonyesha mapenzi ya jinsia moja" kupigwa...
Share:

ERIC OMONDI ANAVYONUIA KUISISIMUA DUNIA NZIMA KWA UCHESHI

katika picha ambazo amepost kwenye official Instagram account yake ,mcheshi Eric Omondi aonekana kuwaandalia wakenya na dunia nzima sisimuo jingine. Kwenye "Eric Omondi untamed 7" Mcheshi maarufu Eric Omondi kutoka Kenya anajiandaa kwa ajili ya "world Tour " ya Kazi yake-ucheshi...
Share:

WILLY PAUL awapa shavu Sauti Sol kwenye kibao chake kipya

Tulimjua kwa "sitolia" "lala salama" "You never know" "Tam tam remix ft size 8" Na vibao vikubwa ambavyo vimempandisha chati huku nchini.Willy Paul sio jina geni kwa wakenya  ha hata East Africa Kwa ujumla" Hivi sasa msanii huyu mwenye style ya "Bongo gospel" ameachia...
Share:

Diamond platnumz aanzisha REALITY TV SHOW ya maisha yake

Ametuzubaisha kwa muziki na mikiki, sasa Diamond Platnumz atuduwaza kwa visiki kwenye Televisheni!! "Muda si Mwingi Kipindi cha Maisha yangu ya kila siku, Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa Tv yako pendwa… nakuahidi sio tu eti Kireality show… ni Reality show Bora...
Share:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate