The Tech Planner

Featured post

USALAMA APP REVIEW

Its agreeable that worst things tend to happen to us when we are alone: Be it health emergencies,  crimes etc. .All these happen to us unex...

Friday, 27 May 2016

POST YA NOTIFLOW INAYOZUZUA NA KUTESA INSTA +18 ONLY

Kwa Mara nyingine tena noti flow msanii kutoka Kenya ambaye amekua moja ya wasanii Wenye kuzua tashwishi miongoni mwa wakenya kwa mambo kadhaa anayofanya  zikiwemo hisia zake kuhusu ndoa ya jinsia moja,amerudi kwa vishindo! Kwenye post yake latest ya insta ,  noti...
Share:

ZAWADI ALIYOPATA JULIANI

Juliani, star kutoka Kenya alizawadiwa kitabu, dakika kadhaa kabla ya kwenda mbele ya mashabiki zake kwenye "mic and dream concert" Hakuhimili furaha yake na kuenda moja kwa moja hadi insta na kuandika "Great surprise before the mic and dream concert, I got this book delivered....
Share:

SAUTISOL WALIVYOKICHANA NCHINI SOUTH AFRICA

Sauti Sol mastaa wa Africa kutoka nchini Kenya, Jana Mei 27, walitua nchini Afrika Kusini. South Africa ni kati ya sehemu walizotembelea katika ziara yako maarufu ya "LIVE AND DIE IN AFRICA" ili kuipa msukumo album yao kwa jina hilo. Tazama picha uone mambo yalivyokuwa Jana...
Share:

KING KAKA ATUA KISUMU!

Leo hii, jumamosi ya mei,28, Rabbit the king ,atatua katika mji wa kisumu kwa niaba ya kuwaburudisha mashabiki wake kwenye ziara kwa jina"THE KENYAN TOUR" kwa watu wa eneo la Kisumu msikose,kwani Leo hii King Kaka atakua katika mji wenu,akiwatumbuiza "Rang'ala girls " Comment...
Share:

DIAMOND PLATNUMZ TAKES BLINGS TO THE GRAM

Diamond platnumz ,hit maker mkubwa wa East Africa ,ambaye juzi tu amekua nominated kwenye BET AWARDS 2016,Katika kundi la best international act Africa, Leo hii , amepeleka mashauzi moja kwa moja na kuonyesha kati ya  "blings" anazovaa za dhahabu na Almasi kwenye official...
Share:

HUDDAH LANDS ANOTHER DEAL

baada ya kufanya kazi na  Vazzi clothing collection.' Huddah Monroe sasa amepata deal nyingine na hivi sasa ndiye brand ambassador wa BrightenMi Cosmetics katika sehemu hii ya Afrika mashariki. ”Meet our new #BrightenMi Ambassador for the East African region.#HONEY...
Share:

AUDIO ALERT! HARMONIZE FT KOREDEBELLO

inaonekana kuwa msanii Harmonize star wa bongo fleva ameachia kibao kipya huku akimshirikisha msanii mkubwa kutoka Nigeria Koredebello.Harmonize amejulikana kwa hits kama vile Aiyola na bado,kibao alichomshirikisha Diamond Platnumz. katika post yake ya insta, Diamond platnumz...
Share:

Thursday, 26 May 2016

AUDIO ALERT "DIVINE" BY PRIME

Kutana naye PRIME msanii kutoka nchini Kenya! Jina halisi:Ochieng Eugene Omondi Alipozaliwa:23 May ,Nairobi Kenya Style ya nyimbo:Newlife RnB Pop Reggae Afrodancehalll Ochieng Eugene Omondi alizaliwa May 23).Hapo Awali alijulikana kama Decimal ila alibadili jina na kujiita ...
Share:

Wednesday, 25 May 2016

AUDIO ALERT! RAYMOND TIP TOP NATAFUTA KIKI

Baada ya hit single ya Raymond Tip Top,kwa jina #kwetu , Leo hii star huyu wa bongo fleva ameachia kibao kipya kwa jina #NATAFUTAKIKI Unaeza kuiskiza na kudownload hapa ...
Share:

Friday, 20 May 2016

MAYUNGA FT AKON "DON'T GO AWAY"

Mayunga,msanii kutoka nchini Tanzania,aliyeiwakilisha nchi hiyo kwenye Airtel Trace Music Star (sehemu ya kwanza mwka 2015),na kuibuka  mshindi, ameachia hit single mpya kwa jina "don't go away" katika wimbo wake mpya, Mayunga amemshirikisha msanii maarufu star wa Afrika...
Share:

DIAMOND PLATNUMZ ACHAGULIWA KUSHIRIKI KWENYE BET AWARDS 2016

Tanzania imeamkia  habari zinazosisimua baada ya  Diamond Platnumz kuchaguliwa tena kushiriki kwenye tuzo za kituo maarufu cha TV Marekani kiitwacho BET.hii ni awamu nyingine  ambapo Platnumz  amekuwa nominated kwenye tuzo hizi na sasa hivi ni kwenye tuzo...
Share:

Thursday, 19 May 2016

ALIKIBA KWENYE MKATABA NA SONY MUSIC

Alikiba  ni Mwimbaji staa wa bongofleva .kuanzia 19,mei 2016 atakua chini ya mwavuli wa Sony Music .sony music ni kampuni kubwa ya muziki inayofanya kazi na mastaa wa dunia kama vile Beyonce, John Legend na Chris Brown. Mkataba huo utahakikisha  kumtengeneza Alikiba...
Share:

MSICHANA MWINGINE KATI YA WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAMA APATIKANA

miaka miwili tangu zaidi ya wasichana  276 wa shule watekwe nyara na kupatikana kwa mmoja mnamo May 18 2016 ,msichana mwingine Serah Luka  amepatikana kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno. Mkuu wa jeshi la polisi Nigeria amethibitisha taarifa hizo . hii ni baada...
Share:

Tuesday, 17 May 2016

HARMONIZE NA WOLPER KWENYE MAPENZI!!!

Harmonize msanii mpya aliyesajiliwa kwenye label ya WCB na Diamond Platnumz huenda baada ya ustar akajiri pia na mapenzi ya mjini! Star huyu wa singles mbili "Aiyola" na kibao "Bado" alichomshirikisha Diamond platnumz huenda akawa na uhusiano na star muigizaji wa Tanzania Jacky...
Share:

Sunday, 15 May 2016

ALIKIBA AACHIA KIBAO KIPYA #AJE

Baada ya lupela ,unconditionally bae na vibao vyenye kutisha ,Alikiba  al maarufu Kingkiba ameachia kibao kipya kwa jina #AJE . itazame teaser ya video HapaUtakipata kwenye official YouTube yake kuanzia 19-05-2016  ...
Share:

DIAMOND PLATNUMZ ABADILISHA MUONEKANO WA NYUMBA YAO

Diamond platnumz ametia bidii kuibadilisha hali ya nyumba yao iliyopo Tandale. Licha ya umaarufu, Diamond platnumz bado ameonyesha bidii katika kuijali familia yake. Hii ni baada ya kuibomoa nyumba yao ya kitambo na kuijenga upya Tazama picha ya nyumba ilivyo sasa tofauti na...
Share:

SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ ILIVYOTISHA HUKO UDOM

Mnamo tarehe 12 mwezi mei, Diamond Platnumz AKA Chibu Dangote pamoja na mastaa wa Africa Mafikizolo walifika Dodoma kwa nia ya kuwafurahisha na kuburudisha  wanafunzi mjini. Diamond Platnumz alitisha zaidi kwa mihemko kwa mashabiki zake . Show hii iliandaliwa na Vodacom...
Share:

Friday, 6 May 2016

" NAMJUA " VIDEO YA SHETTA IMETOKA

Siku mbili tu baada ya audio iliyotisha bongo, Mamba katika uwanja wa utunzi ,Shetta ameachia video ya hit single yake mpya kwa jina NAMJUA. Muda mfupi tu baada ya kuachia video hii, baba Qayla amemiminiwa sifa na mashabiki wake wa insta pamoja na subscribers wa YouTube kwa...
Share:

Thursday, 5 May 2016

AUDIO YA P UNIT "HOLD TIGHT" IMETOKA!!

Imekuwa ni muda sasa  hatujaskia wimbo kutoka kwa wasanii wa P UNIT -Frasha,buganya na bon-eye . Miezi kadhaa iliyopita, fununu zilitamba kwenye mitandao kuwa kikundi hiki kilitengana na kila msanii kwenda kivyake na kuanza safari mpya za kusaka hela kwa muziki wa genge. Ila...
Share:

Wednesday, 4 May 2016

ELANI X JOSE CHAMELEONE VIDEO ALERT

Baada ya kimya kwa muda, wanamuziki kutoka Kenya almaarufu Elani wameachia kibao kipya. mastaa hawa wa nyumbani wameachia kibao kipya wakimshirikisha msanii Jose chameleone kutoka Uganda   kwa jina "My Darling" My Darling ni wimbo wa kimapenzi unaoonyesha umuhimu wa kumwambia...
Share:

Tuesday, 3 May 2016

SHETTA KUACHIA WIMBO MPYA WIKI HII

Baada ya kimya kingi, msanii wa kutajika kutoka bongo,shetta aamua kuwachangamsha mashabiki wake kwa kibao kipya. Star huyu wa nyimbo kama vile , nidanganye  na kerewa ft diamond platnumz, sina imani ft Rich Mavoko na nyingine nyingi amepanga kuachia kibao kwa jina NAMJUA...
Share:

GET NOTICED

GET NOTICED
PRESENTER ALI. Powered by Blogger.

Author Details

contact us



Translate